Ujenzi wa barabara ya juu Mwenge kuanza Desemba Ujenzi wa barabara ya juu (flyover) ya kupitisha magari katika makutano ya barabara ya Mwenge jijini Dar es Salaam utaanza kujengwa ifikapo mwezi Desemba mwaka huu. Read more about Ujenzi wa barabara ya juu Mwenge kuanza Desemba