Mgogoro wa UDOM wanafunzi wameonewa
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeonyesha kusikitishwa na hatua ya serikali ya kuwafukuza katika majengo ya Chuo Kikuu cha Dodoma, wanafunzi wa chuo hicho ndani ya saa 24 kwa kutumia vyombo vya dola.