Mziwanda: Jina Jike Shupa ni wazo la Ali Kiba
Baadhi ya wadau wanao fatilia muziki wa Bongo fleva nchini wanasema ubunifu mkubwa uliofanyika katika kuandaa video ya ngoma 'Jike Shupa' ilikuwa Nuh Mziwanda apotee kabisa na kufa kifo cha mende na muziki wake umepata nguvu baada ya video hiyo.

