Sina chuki na Simba-Jerry Muro Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha klabu ya Yanga, Jerry Muro. Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha klabu ya Yanga, Jerry Muro amesema wanaoamini kuwa ana chuki na uongozi wa klabu au mashabiki wa Simba wanajidanganya. Read more about Sina chuki na Simba-Jerry Muro