TFF yaomba mashabiki kuiunga mkono Yanga CAF.

Kikosi cha timu ya Yanga.

Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania TFF limewaomba wadau wa michezo hasa mashabiki wa soka nchini kuipa sapoti yakutosha timu ya Yanga ambayo iko katika mbio za kusaka ubingwa wa michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika katika kundi A

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS