"Show masaa 3 kwangu ni sawa na mazoezi" - Ruby Baada ya gumzo aliloliacha Lady jaydee kuhusu show yake ya masaa matatu mfululizo kuwa hakuna msanii mwengine wa kike ambaye anaweza kufanya hivyo, Ruby amefunguka na kutetea uwezo wao. Read more about "Show masaa 3 kwangu ni sawa na mazoezi" - Ruby