SHIVYATIATA kupiga marufuku waganga kupiga ramli
Shirikisho la Vyama vya Tiba Asili nchini Tanzania (SHIVYATIATA) limesema kuwa kuendelea kwa vitendo vya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) kunaathiri utendaji kazi wao kwani jamii inawanahusisha moja kwa moja na mauaji hayo.