Azam FC haitasajili, kutumia vijana wake wa U 20
Klabu ya Azam FC imesema, katika zoezi la usajili watakuwa na utofauti kwani hawatasajili mchezaji yoyote wa ndani bali watawapandisha wachezaji wao walio ndani ya kikosi cha vijana chini ya miaka 20.