Chidy akirudia madawa Tale na Kalapina wanahusika
Baada ya stori kuzagaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii dhidi ya rapa Chidi Benzi kutoroka Bagamoyo Sober House alipokuwa akipata matibabu baaada ya kuathirika na matumizi ya dawa za kulevya sasa watu wa Sober House wamenyoosha maelezo.