Nitashirikiana na wawekezaji wa ndani-Magufuli
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda kuwa serikali yake itatoa ushirikiano wa kutosha kwa wenye viwanda na wenye nia ya kuanzisha viwanda vipya ili kufanikisha nia yake ya kuzalisha ajira .