Vijana 156 waokolewa na madawa ya kulevya Mtwara
Mkoa wa Mtwara umefanikiwa kuwakusanya vijana 156 waathirika wa madawa ya kulevya na kati ya hao, vijana 104 tayari wameunganishwa katika mpango wa matibabu katika hospitali ya rufaa mkoani humo, Ligula.