Wabunge waliosimamishwa watoa ya Moyoni Bungeni Dodoma Wabunge waliosimamishwa bungeni kutokana na makosa mbalimbali wamesema kuwa hatua iliyochukuliwa dhidi yao wana wasawasi kuwa bunge hilo litakuwa kibogoyo na litashindwa kufanya kazi yake kama inavyotakiwa. Read more about Wabunge waliosimamishwa watoa ya Moyoni