Twiga kuingia kambini maandalizi mechi na Rwanda Kikosi cha Timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars kinatarajia kuingia kambini hivi karibuni kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Timu ya Taifa ya Rwanda. Read more about Twiga kuingia kambini maandalizi mechi na Rwanda