Ligi ya mpira wa magongo Dar kuanza kesho JMK Park

Baadhi ya wachezaji wakichuana katika moja ya mashindano ya vilabu.

Chama cha Mpira wa Magongo [hockey] Mkoa wa Dar es salaam DRHA kinataraji kuendesha kwa mara ya kwanza ligi ndefu ya mchezo huo kwa ngazi ya mkoa ambayo inataraji kuanza kesho ikishirikisha vilabu vya wanawake na wanaume kutoka mkoani humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS