Wizara ya Afya Tanzania kuimarisha Huduma za X-Ray
Wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto nchini Tanzania imesema inaendelea kuimarisha Huduma za matibabu kwa wagonjwa wanaotakiwa kupimwa vipimo vya mishipa ya fahamu pamoja na saratani kwa kutumia mashine za X-Ray