Stars full kujiamini yawaita Mashabiki kuiua Misri
Kocha Mkuu wa kikosi cha timu ya soka ya Tanzania Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa amesema kikosi kimeiva tayari kuwavaa Mafarao wa Misri hapo kesho huku nahodha Mbwana Samatta akiwataka mashabiki kujitokeza uwanjani hapo kesho kutoa hamasa.