Shaa hayupo tena Mj Record Star wa Bongo Fleva Shaa Mmiliki wa lebo ya Mj Record Master J amefunguka na kutufahamisha kwamba Msanii Shaa aliyekuwa akifanya kazi zake kupitia usimamizi wa lebo hiyo kwa sasa hasimamiwi tena kazi zake na lebo hiyo . Read more about Shaa hayupo tena Mj Record