Waisilamu waaswa kudumisha amani nchini

Wakati waumini wa Dini ya Kiislamu nchini wakiungana na wenzao ulimwenguni kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitri wito umetolewa kwa waumini hao kuendelea kuienzi na kudumisha amani iliyopo nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS