Serikali kuwachukulia hatua wavunjifu wa amani Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema serikali itawachukulia hatua wale wote watakaobainika kushirikia katika uvunjifu wa amani. Read more about Serikali kuwachukulia hatua wavunjifu wa amani