Oscar Joshua aanza mazoezi mepesi Uturuki

Beki wa kushoto wa Yanga Oscar Joshua ameanza mazoezi mepesi katika kambi ya timu hiyo mjini Antalya, Uturuki kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe wiki ijayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS