Mtoto abakwa na kunyongwa jijini Arusha Eneo la Unga Limited, jijini Arusha Mtoto wa miaka minne amebakwa na kuuawa kwa kuvunjwa shingo na kutupwa kandokando ya njia ya watembea kwa miguu karibu na mfereji wa maji umbali wa mita 50 kutoka nyumbani kwao. Read more about Mtoto abakwa na kunyongwa jijini Arusha