Iceland yaangukia kwa Uingereza 16 bora ya Euro Ureno iliyocheza kwa shida na kwa kujituma ili isihadhirike na kuishia hatua ya makundi ya Euro 2016, imetinga 16 bora baada ya kumaliza ya tatu kwenye mchezo wa kundi F. Read more about Iceland yaangukia kwa Uingereza 16 bora ya Euro