Ubelgiji yamwaisha Zlatan kwa Mourinho Man United
Ni huzuni kwa Wasweden lakini pengine itakuwa ni furaha kwa mashabiki na kocha wa United Jose Mourinho kwa matokeo ya kipigo kwa timu ya taifa ya Sweden jana usiku kwani sasa watakuwa na hamu ya kuona mshambuliaji Ibrahimovic akitua Old Trafold