Magufuli ataka raia jeshi la polisi watolewe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Enerst Mangu kuorodhesha raia wote wanaofanya kazi ndani ya jeshi la polisi ili watoke na kuajiriwa watumishi waliosemea ambao ni polisi.
