Majaji wa Dance100% wawataka vijana kujipanga

Majaji wa shindano la Dance100% 2016 walipokuwa kazini Leaders Jijini Dar es salaam.

Majaji ambao wanasimamia shindano la Dance100% 2016 wamewataka vijana kuchangamkia nafasi ya bure ya shindano hilo kuonyesha vipaji vyao ili waweze kutambulika kupitia sanaa ya kucheza ambayo ni ajira kubwa kwa sasa nchini na nje ya nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS