Kamishna wa maadili ya utumishi wa umma Jaji mstaafu Salome Kaganda
Kamishna wa maadili ya utumishi wa umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda amewataka makamishna wa jeshi la polisi walioapishwa leo kuhakikisha wanasimamia maadili ya kazi yao na askari walio chini yao.