Korti yairejesha PST kwenye shughuli za masumbwi

Mwezi mmoja baada ya Baraza la michezo Tanzania BMT, kulisimamisha Shirikisho la masumbwi Tanzania PST, kwa mwaka mmoja kutojishughulisha na masumbwi kwa kukiuka kanuni, Mahakama ya Wilaya ya Temeke imesitisha maamuzi hayo na kuiruhusu PST.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS