Magufuli awarejeshea NEC Chenji yao ya Uchaguzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ameipongeza tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), kwa kusimamia zoezi la Uchaguzi vizuri na kuahidi kutatua changamoto zinazowakabili ikiwemo kuwa na jengo lao binafsi.