Shigella kula sahani moja na watumishi wabadhilifu
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella, amesema yupo tayari kumuwajibisha mtumishi yoyote atakae bainika kujihusisha na upotevu wa mapato ya Halmashauri mkoani humo.