Magufuli ateua wakurugenzi SIDO na Benjamini Mkapa
Dkt. John Pombe Magufuli - Rais wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Sylvester Michael Mpanduji kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO).