AU washindwa kupata Rais wa Halmashauri ya AU
Wakuu wa nchi za Kiafrika wanaokutana katika mji mkuu wa Rwanda Kigali jana wameshindwa kumchagua mkuu mpya wa halmashauri ya Umoja wa Afrika na watajaribu kufanya hivyo tena hapo mwezi wa Januari mwakani.
