Benki ya Dunia kuisaidia Tanzania Trilioni 3.2
Benki ya dunia imeingia makubaliano na nchi ya Tanzania kutoa zaidi yatTrilioni 3.2 kwaajili ya kusaidia kaya masikini na kusaidia miradi 10 ya maendeleo ikiwa ni pamoja na miradi ya umeme vijijini, kilimo, biashara, afya na haki za binadamu.