Elimu ya siasa na sheria zake kutolewa leo

Katika kuadhimisha wiki ya utumishi wa umma, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imeamua kutenga siku ya kukutana na wananchi ili kutoa elimu na kusikiliza hoja na maoni kuhusiana na masuala ya vyama vya siasa na sheria zake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS