Wakazi wa Kijiji cha Hiyari Mtwara walia na Maji
Adha ya uhaba wa maji safi na salama ni moja ya changamoto kubwa wanayokabiliana nayo wananchi wa kijiji cha Hiayari, halmashauri ya wilaya ya Mtwara hali ambayo inawalazimu kununua Ndoo moja kwa shilingi Miatano.
