Uhusiano wangu na Arsenal haujavunjika - Henry Thienry Henry, amesema bado anaipenda Arsenal, na kuondoka kwake kwenye benchi la ufundi la kikosi cha vijana siyo mwisho wa kuisaidia timu hiyo. Read more about Uhusiano wangu na Arsenal haujavunjika - Henry