Raia wa Afrika Kusini afariki akipanda mlima

Raia wa Afrika ya Kusini Guguleth Mathebula Zulu 38 aliyefika nchini kwa utalii na kupanda mlima kilimanjaro amefariki leo baaada ya kupatwa na tataizo la kushindwa kupumua kwenye mwinuko wa juu mlimani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS