Waziri Mkuu wa Uingereza kujiuzulu Oktoba

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron akiongea nje ya Downing Street

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron amesema ataachia madaraka mwezi Oktoba, mwaka huu kufuatia Mataifa ya Umoja wa Kifalme wa UK, kupiga kura ya kujitoa Umoja wa Ulaya (EU).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS