Fanyeni uchunguzi wa mradi wa sare za polisi
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amelitaka jeshi la Polisi kufanya uchunguzi juu ya tuhuma za ubadhilifu wa mabilioni ya shilingi zinazosemekana zimetolewa na jeshi hilo mwishoni mwa mwaka jana malipo sare za polisi lakini sare hizo hazipo.
