Walimu walia na changamoto sera elimu bure
Miezi sita baada ya sera ya elimu bure kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha nne hapa nchini waalimu wamebaini changamoto mbalimbali ambapo wanaomba serikali kuzishugulikia ili elimu bora itolewa kwa wanafunzi wengi walio jitokeza kupata elimu.

