Manispaa ya Ubungo yatii agizo la kupanda miti
Watumishi wa manispaa ya Ubungo wakishirikiana na wananchi wa wilaya hiyo leo wamejitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la upandaji miti ikiwa ni kuunga mkono kampeni ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda