Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa Bodi NIC

Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 02 Oktoba, 2016 amemteua Bw. Laston Thomas Msongole kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS