Mashambulizi Syria yanaweza kubadilisha mtazamo
Wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani imesema kwamba kitendo cha Urusi kuongeza mashambulizi nchini Syria kunawalazimisha wapinzani wa lengo wa kati nchini humo kuangukia katika mikono ya makundi ya mlengo mkali.