Mbijima akerwa na mauaji ya kishirikina Kaliua Kiongozi wa Mbio za Mwenge George Mbijima Kiongozi wa mbio za Mwenge nchini George Mbijima amekemea vikali hali ya mauaji ya kikatili yanayofanyika kila mwezi katika wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora. Read more about Mbijima akerwa na mauaji ya kishirikina Kaliua