DC Ludewa avunja bodi ya SACCOS kwa ubadhirifu
Mkuu wa wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe Andrea Tsere, amewaweka ndani Meneja na Mwenyekiti wa bodi ya Saccos ya Mlangali na kuivunja Bodi yake na kutoa siku 30 kwa Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa Upotevu wa milioni 114