Waziri Mkuu akisalimiana na watumishi wa Ofisi yake, Makao Makuu Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza apatiwe orodha ya wadaiwa sugu wa taasisi zote za Serikali mkoani Dodoma ambao wamelimbikiza deni la sh. bilioni 1.4 zikiwa ni bili zao za maji.