Vikosi vya usalama DRC, vyatumwa Kinshasa

Taarifa kutoka Jamhuri ya Demokrasi ya Congo zinasema kuwa vikosi vya usalama vimetumwa kwenda mji mkuu wa nchi hiyo Kinshasa, baada ya serikali kupiga marufuku mkutano wa  muungano wa vyama vya upinzani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS