Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara Francis Massawe akiwaongoza polisi kukagua eneo la tukio.
Jeshi la Polisi mkoni Manyara limezima mapigano kati ya wakazi wa kijiji cha Lembubuli wilayani Kiteto na wakazi wa kijiji cha Mafisa kilichopo wilayani Kilindi mkoani Tanga.