Marubani wa ndege nchini Ujerumani wagoma
Marubani wa shirika la ndege la Ujerumani Lufthansa wako katika mgomo na kusababisha kukwama kwa mamia ya wasafari na safari za ndege kusitishwa baada ya chama cha marubani kuitisha mgomo utakaokoma hapo kesho.