Tanzania Bara yaadhimisha miaka 55 ya Uhuru

Kikundi cha kwata ya kimyakimya

Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt. John Magufuli leo amewaongoza watanzania katika kuadhimisha miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania bara, uliopatikana Desemba 9, 1961

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS