Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma ambapo huenda maadhimisho ya Uhuru yatakuwa yakifanyika hapo
Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara zitakuwa zikifanyika mjini Dodoma kuanzia mwaka 2017 badala ya Jijini Dar es Salaam kama ilivyozoeleka.